Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (wa tatu
kushoto), akikabidhi tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha makampuni
bora ya mwaka katika eneo la uwekezaji katika sekta za kibenki kwa
Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wa Benki ya Biashara ya DCB, Regina Mduma
wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanachama wa DSE jijini Dar es Salaam hivi
karibuni. Wengine pichani kutoka kushoto ni; Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Soko la Hisa la Dar es salaam, Moremi Marwa, Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Mamlaka ya Masoko na Mitaji na Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama na Ofisa katika
kitengo cha Sheria wa DCB, Grace Ringo.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia),
akishikana mikono Mkurugenzi wa Kitengo Cha Sheria was Benki ya DCB,
Regina Mduma, baada ya kumkabidhi iliyoshinda benki hiyo ya mshindi wa
tatu katika kitengo cha makampuni bora ya mwaka katika eneo la uwekezaji katika
sekta za kibenki wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanachama wa
DSE jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Ofisa katika kitengo cha
Sheria wa DCB, Grace Ringo.
Mkurugenzi katika Kitengo cha Sheria wa Benki ya DCB, Regina
Mduma (kulia), na Ofisa wa Kitengo hicho Grace Ringo wakionesha tuzo hiyo mara
baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Fedha.
No comments:
Post a Comment