ENEO LA BAR LINAUZWA DAR, NA VIWANJA DODOMA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Wednesday, 16 October 2019

ENEO LA BAR LINAUZWA DAR, NA VIWANJA DODOMA

Best Dalali anakutangazia Eneo linauzwa ni eneo la ukumbi wa starehe na Bar ndani pia Kuna frame kubwa mbili za Sqm 21 kwaajili ya maduka Pia kuna majiko mawili, Eneo lote lina Sqm 1,231 eneo lina hati kamili.

Eneo lipo Ukonga Mombasa kama unaenda  Moshi bar kisha unavuka reli kama mita 20 alafu unapinda kulia kwako barabara hiyo moja kwa moja mpaka kwenye Bar.

Eneo lina packing kubwa ya kutosha MAGARI mpaka 20

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. 0657 16 82 72 / 0689 95 33 35

Pia kama una Nyumba ya kupangisha au kuuza au Kiwanja au Shamba unataka kuuza au kununua usipate tabu BEST DALALI tupo kwa ajili yako.  piga simu kwa mawasiliano zaidi 0657 16 82 72 / 0689 95 33 35

Mikoa tunayo ihudumia ni Dar es salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza.

No comments:

Post a Comment