Kampuni ya China Road and Bridge Corporation (CRBC) ndiyo iliyopewa kandarasi ya ujenzi na kuiendesha barabara kwa miaka 30. Ujenzi wa Nairobi Expressway unatarajiwa kupunguza foleni ya magari katika barabara hii muhimu kwa uchumi wa Kenya. - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 16 October 2019

Kampuni ya China Road and Bridge Corporation (CRBC) ndiyo iliyopewa kandarasi ya ujenzi na kuiendesha barabara kwa miaka 30. Ujenzi wa Nairobi Expressway unatarajiwa kupunguza foleni ya magari katika barabara hii muhimu kwa uchumi wa Kenya.



Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, leo amezindua ujenzi wa barabara ya juu kwa juu ya 'Nairobi Expressway' kuanzia eneo la Mlolongo hadi Westlands umbali wa kilomita 27.

Barabara hiyo itakuwa na makutano 10 na itajengwa katika kipindi cha miezi 24 kwa gharama ya dola milioni 600.

Kampuni ya China Road and Bridge Corporation (CRBC) ndiyo iliyopewa kandarasi ya ujenzi na kuiendesha barabara kwa miaka 30.

Ujenzi wa Nairobi Expressway unatarajiwa kupunguza foleni ya magari katika barabara hii muhimu kwa uchumi wa Kenya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here