Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetekeleza agizo la Rais John Magufuli kuhamishia makao makuu ya wilaya hiyo katika Kijiji cha Inyala kutoka Mbeya mjini.
Oktoba 7 mwaka huu akiwa mkoani Rukwa, Rais Magufuli aliziagiza halmashauri zote zenye ofisi zake mijini kuhamia vijijini ili kusogeza karibu huduma kwa wananchi wa maeneo hayo.


No comments:
Post a Comment