Mbeya watekeleza agizo la Rais Magufuli - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Tuesday, 22 October 2019

Mbeya watekeleza agizo la Rais Magufuli



 Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetekeleza agizo la Rais John Magufuli kuhamishia makao makuu ya wilaya hiyo katika Kijiji cha Inyala kutoka Mbeya mjini.

Oktoba 7 mwaka huu akiwa mkoani Rukwa, Rais Magufuli aliziagiza halmashauri zote zenye ofisi zake mijini kuhamia vijijini ili kusogeza karibu huduma kwa wananchi wa maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment