EPL, BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUENDELEA WIKENDI HII - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Friday, 10 September 2021

EPL, BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUENDELEA WIKENDI HII

 

Baada ya mapumziko ya siku 10 na kupisha michezo ya Kimataifa, sasa soka linarejea tena kwenye ngazi ya vilabu wikiendi hii. Ni wiki ya 4 kwenye ligi nyingi Barani Ulaya, mambo yapo hivi;

 

Lorient kupambana na Lille katika muendelezo wa Ligue 1 Ijumaa hii. Licha ya kubeba ubingwa msimu uliopita, Lille hawajaonesha makali yao waliyomaliza nayo msimu. Usiwachukulie poa, Odds ya 2.15 ipo kwa Lille kupitia Meridianbet.


Julian Niglesmann kuingoza Bayern Munich itakapowafata RB Leipzig jumamosi hii. Naam! Kocha huyu atakua anarejea nyumbani kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka klabuni hapo. Sambamba na Julian, beki kisiki – Dayot Upamecano pamoja na Marcel Sabitzer watarejeauchuana na klabu yao ya zamani (Leipzig). Kupitia Meridianbet, ifuate Odds ya 2.30 kwa Bayern Munich.

 

Dunia nzima itakua pale Old Trafford wakati ambapo, Cristiano Ronaldo atatambulishwa rasmi kurejea Manchester United baada ya miaka 12United watakua uwanjani kuwaalika Newcastle United, huu ni mchezo ambao ni miongoni mwa michezo mikubwa kwenye historia ya soka la Uingereza. Ni Ole Gunnar Solskjaer au Steve Bruce atakayeondoka na alama 3 muhimu? Odds ya 1.19 ipo kwa Man United ndani ya Meridianbet.

 

Fumba na kufumbua, jumapili hii hapa – ni Leeds United vs Liverpool. Majogoo wa Uingereza wataingia uwanjani bila kipa wao namba 1 – Alisson Becker wala mshambuliaji wao Roberto Firmino. Upande wa pili, Leeds itamkosa Rafinh

No comments:

Post a Comment