HII HAPA ORODHA YA MAKOCHA WANAOTAJWA KUTOKIDHI VIGEZO, GOMES WA SIMBA NDANI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Friday, 10 September 2021

HII HAPA ORODHA YA MAKOCHA WANAOTAJWA KUTOKIDHI VIGEZO, GOMES WA SIMBA NDANI

 


 IMEELEZWA kuwa Shirikisho la Soka Afrika limetoa orodha ya makocha ambao hawajakidhi vigezo vya kukaa kwenye benchi la ufundi katika mechi za kimataifa.

Sababu inayotajwa ni kukosa vigezo vya Caf au UEFA Pro Licence.

Orodha hiyo imewataja Dideir Gomes, Kocha Mkuu wa Simba ambayo kwa sasa ipo Arusha.

Erradi Mohamed Adil wa APR.

Bosa Wasswa wa Express FC.

Diego Garzitto wa El Merreikh.

Comlan Mathias wa ESAEL FC.

Pascal Lafleurial wa DFCB.

Roque Sapir wa SD Sagrada Experanca.

Ame Khamis wa KMKM

No comments:

Post a Comment