HILI HAPA JESHI LA YANGA LITAKALOWAVAA WANAIJERIA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Friday, 10 September 2021

HILI HAPA JESHI LA YANGA LITAKALOWAVAA WANAIJERIA

 


JUMAPILI, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Rivers United kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa hatua ya awali.

Kikosi ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza Septemba 12 kipo namna hii:-

Diarra Djigui 

Kibwana Shomari 

Bakari Mwamnyeto 

Dickson Job 

Adeyum Saleh 

Moloko

Tonombe Mukoko 

Zawad Mauya 

Fei Toto 

Heritier Makambo


No comments:

Post a Comment