BENKI YA TCB YAJIPANGA KUTOA ELIMU YA KIFEDHA KWENYE MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NCHINI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 10 November 2021

BENKI YA TCB YAJIPANGA KUTOA ELIMU YA KIFEDHA KWENYE MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NCHINI


02
Mkurugenzi Mtendaji wa banki ya biashara Tanzania (TCB)   Sabasaba   Mushingi akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,
03
Meneja Masoko wa Benki ya Biahara ya Tanzania TCB Gloria Mutta (kushoto), akitoa maelezo kwa mteja alietembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, katikati ni Meneja Mahusiano wa Benki ya TCB Geace Majige04Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja uwendeshaji Matawi wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), alipotembelea kwenye banda  lao, wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, wengine ni Maofisa wa Benki hiyo.

05Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania TCB Deo Kwiyukwa (kulia), akizungumza na Meneja Masoko wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Mpesa Noel Mazoya  wakati alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, kushoto ni Meneja Mahusiano wa Benki ya TCB Geace Majige

06
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akisaini kwenye kitabu cha wageni  alipotembelea banda la Benki ya Biashara Tanzania (TCB), wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here