Meneja
wa Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka Foundation for Civil Society, Edna
Chilimo, akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wana Asasi za Kiraia kutoka
Visiwa vya Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa New Savoy mjini
Morogoro.
Makundi
washiriki wa mafunzo hayo ni Azaki kutoka Zanzibar na Pemba ambapo
wanashiriki mafunzo ya Utetezi na Ushawishi wa Sera kutoka kwa mashirika
ya MVIWATA (Muungano wa Vyama vya Wakulima Wadogo Tanzania) na MPLC
(Morogoro Para-Legal Center). Mashirika haya mawili yamebobea katika
Ushawishi na Utetezi wa haki za kumiliki ardhi kwa makundi mbalimbali
mkoani Morogoro. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Mshauri
Mwelekezi wa Mradi wa Sera kutoka The Foundation for Civil Society
Zanzibar, Salma Maulidi, akiendesha mafunzo hayo ndani ya ukumbi wa New
savoy Morogoro.
Mkulima
Mwezeshaji wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania MVIWATA
Morogoro, Marcelina Kibena akiendesha mafunzo kwa washiri kutoka asasi
za Kiraia za Visiwani Zanzibar yaliyofanyika katika Ofisi za MVIWATA
zilizopo Viwanja vya Nane Nane mjini Morogoro.
Ofisa Miradi wa Morogoro Para-Legal Center (MPLC) Sakina Nyumayo, akifafanua jambo kwa washiriki hao wakati wa mafunzo.
Baadhi ya washiriki katika ukumbi wa Ofisi za MVIWATA viwanja vya Nanenane.
Baadhi ya washiriki katika ukumbi wa Ofisi za MVIWATA viwanja vya Nanenane, Morogoro Para-Legal Center.
Ofisa
Miradi wa Morogoro Para-Legal Center, Augustino Ernest akifafanua jambo
kwa washiriki kuhusu utendaji wa majukumu ya kikazi wakati
walipotembelea katika ofisi hiyo.
Wakati wa maswali
Umakini wa kusikiliza
Ofisa
Miradi wa Morogoro Para-Legal Center, Augustino Ernest akifafanua jambo
kwa washiriki kuhusu utendaji wa majukumu ya kikazi wakati
walipotembelea katika ofisi hiyo.
Mshauri
Mwelekezi wa Mradi wa Sera kutoka The Foundation for Civil Society
Zanzibar, Salma Maulidi, akiendesha mafunzo hayo ndani ya ukumbi wa New
savoy Morogoro.
Hata hapa ntasikia kwa umakini tu.
Umakini wa kusikiliza
Akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa washiriki
Umakini wa kurekodi kumbukumbu ya mafunzo
Mafunzo yakiendelea.....
Washiriki wakijieleza jinsi walivyoelewa na kupata elimu kutoka kwa wenzao MVIWATA na MPLC.
Washiriki wakijieleza jinsi walivyoelewa na kupata elimu kutoka kwa wenzao MVIWATA na MPLC.
Waashiriki wakijieleza jinsi walivyojifunza na kuelewa mengi kutoka kwa wenzao.
Mafunzo yakifungwa rasmi siku ya kwanz
No comments:
Post a Comment