Breaking news Jeshi la polisi limemtia mbaroni Meneja wa Hoteli ya Peacock kwa kuhamasisha ushoga - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 18 October 2017

Breaking news Jeshi la polisi limemtia mbaroni Meneja wa Hoteli ya Peacock kwa kuhamasisha ushoga

T
Breaking news Jeshi la polisi limemtia mbaroni Meneja wa Hoteli ya Peacock kwa kuhamasisha ushoga
unae Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Polisi Dar es salaam Lazaro Benedict Mambosasa ambae ametangaza kukamatwa kwa Meneja wa Hoteli ya Peacock Dar es salaam.

Namnukuu Kamanda Mambo sasa akisema “Tumewakamata Wahalifu wengine wa aina yake pale Peacock ambao wanahamasisha ushoga hapa nchini, Wahusika hao kuna raia wa South Africa, Waganda na Watanzania”

“Kwa Tanzania kuna sheria ya kuzuia watu wa jinsia moja kufanya tendo hilo, kwanza Meneja wa Peacock tumemkamata kwa ajili ya kumuhoji, alikua anafahamu ndio maana akatoa ukumbi lakini pia Wahusika hao warudi South Africa wakaendelee huko kama sheria zao zinaruhusu”

“Niliowakamata ni 12, raia wawili wa South Africa, Mganda mmoja na 9 ni Watanzania wenyeji ambao wametoka maeneo mbalimbali… niombe Watanzania kama walivyofanya pale Peacok waendelee kutuamini kwa kutoa taarifa ili tuweze kushughulika nao kwa wakati”

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here