Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu
-
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo
Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida
Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi.
-
-
Samia amtembelea Lissu baada ya
kumalizika kwa hafla ya kumwapisha Rais Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa
Jamhuri ya Kenya katika uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi. Mhe. Samia
Suluhu
-
-
Hassan alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
No comments:
Post a Comment