Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi rasmi ya
upinzani bungeni Mhe.Freeman Mbowe wakati wa maswali ya papo kwa papo
kwa Waziri Mkuu leo Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati
wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu wakati wa kikao cha tatu cha
mkutano wa tisa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akiteta jambo na Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza wakati
wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Viti
Maalum(CHADEMA) Mhe.Dk Imaculate Semesi wakati wa kikao cha tatu cha
mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Mbunge
wa Bukombe(CCM) Mhe.Doto Biteko akiuliza swali wakati wa kikao cha tatu
cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo
Mjini Dodoma.
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.William Ole Nasha akitolea
ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha tatu cha
mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Wanafunzi
wa kidato cha sita wa Shule ya sekondari Dodoma wakiwa bungeni
kujifunza shughuli mbalimbali za bunge ilo wakati wa kikao cha tatu cha
mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza
mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akiwasilisha
kauli ya Serikali kuhusu udahili na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa
elimu ya juu kwa mwaka 2017/2018 Bungeni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment