Siku tatu za Ndemla Sweden - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday 15 November 2017

Siku tatu za Ndemla Sweden

Siku tatu za Ndemla Sweden
Kiungo wa Simba, Said Hamis Ndemla anaendelea na majaribio katika klabu ya AFC ya Sweden.
Ndemla anaendelea kufanya majaribio hayo tokea juzi Jumatatu na leo itakuwa ni siku yake ya tatu akifanya majaribio hayo.

Kikosi cha AFC kinachojiandaa na mechi mbili za mwisho za Ligi Kuu Sweden, kinamjumuisha Ndemla ambaye ameungana na wachezaji wa kikosi hicho katika mazoezi.


Ndemla amepewa siku 14 za majaribio kumuonyesha kocha na benchi la ufundi alichonacho

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here