Card B avunja Record na Beyonce - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Sunday, 14 January 2018

Card B avunja Record na Beyonce

Rekodi yavunjwa, Rapa Cardi B na Beyonce ndio wasanii wawili wa kike pekee kuwahi kuwa na nyimbo nne zenye majina yao kwenye top ten ya chati ya Billboard ya Hot R&B/Hip-Hop kwa wakati mmoja.

Cardi B ana nyimbo nne kwenye top ten ya Hot R&B/Hip-Hop toka Jan. 13 ambazo ni G-Eazy  “No Limit,” Ft Cardi B na A$AP Rocky,  “Motorsport,”ya Migos Ft Cardi B na Nicki Minaj, Cardi B  “Bodak Yellow (Money Moves)” na  “Bartier Cardi,”Ft Cardi B na 21 Savage.

Beyoncé aliwahi kuwa na rekodi hii kupitia nyimbo kama Formation, Sorry, Hold Up , 6 Inch Ft The Weeknd

Kwenye rekodi hii wanawake ni Cardi B na Beyoncé, wasanii wengine ni Drake, Lil Wayne, 2 Chainz, Eminem na Kendrick Lamar, wasanii Drake na Kendrick Lamar waliwahi kuwa na nyimbo 5 kwenye chati hio.Card B avunja Record na Beyonce

No comments:

Post a Comment