Msanii Chipukizi alazimika kufanya ujambazi kwenye Mgahawa Rick rose,ilii afahamike buru - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 14 January 2018

Msanii Chipukizi alazimika kufanya ujambazi kwenye Mgahawa Rick rose,ilii afahamike buru

Msanii chipukizi ametumia silaha kuvamia mgahawa wa kuuza kuku wa rapa Rick Ross ili msanii huyo amjue zaidi na kumpa kazi kwenye lebo yake ya MMG.

Polisi wiki hii walimkamata msanii wa hiphop kutoka Memphis , Cedric Miller, 23, alipohojiwa alisema>Nilitaka Rick Ross apata habari zangu na kujua jina langu,

Miller na kijana mwingine walijaribu kufanya ujambazi kwa kutumia silaha kwenye mgahawa huo wa kuuza nyama za kuku ila walishindwa kufungua droo ya pesa na kuondoka bila kupora chochote.

Rick Ross anamiliki migahawa zaidi ya 30 ya kuuza kuku wa kuchoma kwenye sehemu tofauti Marekani kwa mujibu wa Atlanta magazine.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here