Nandy amtamani Bilnass - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 14 January 2018

Nandy amtamani Bilnass

Nandy amtamani Bilnass Binti anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Faustina Charles ‘Nandy’.
BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy amefunguka kuwa kama kutoa penzi ni bora kwa mwanamuziki mwenzake, Billnas na sio Dogo Janja kama wanavyosema watu.

Akazungumza na Spoti Xtra, alisema kuwa watu wengi wanasema kuwa wimbo alioimba wa Kivuruge amemuimbia Dogo Janja baada ya kumtema.

Billnas
“Sijawahi kuwa na uhusiano na Dogo Janja ila ni mshikaji tu na sijamfikiria labda mngeniambia Billnas ni mtu ambaye ninampenda na ninatamani siku moja awe wangu ila kama atanifuata yeye,” alisema Nandy

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here