Meneja
wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi
funguo ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa mkazi wa
Lindi, Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni
ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo katika hafla iliyofanyika mjini
Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Wateja tawini hapo,
Mwanahawa Jangwa.
Meneja
wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi kadi
ya gari ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa mkazi
wa Lindi, Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa
Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo katika hafla iliyofanyika
mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Wateja tawini
hapo, Mwanahawa Jangwa.
Meneja
wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi
kibao cha namba za gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa
mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa washindi sita
wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo katika hafla iliyofanyika
mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Wateja tawini
hapo, Mwanahawa Jangwa.
Mshindi
wa zawadi ya gari ya kampeni ya akaunti ya Malengo ya NBC, Saidi
Chiwina (katikati) akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari mara baada
ya kukabidhiwa gari lake mjini Tanga leo.
Mshindi
wa zawadi ya gari ya kampeni ya akaunti ya Malengo ya NBC, Saidi
Chiwina akijaribu kuwasha gari lake mara baada ya kukabidhiwa na Meneja
wa NBC Tawi la Tanga, Asia Chambega mjini Tanga leo.
Mshindi
wa zawadi ya gari ya kampeni ya akaunti ya Malengo ya NBC, Saidi
Chiwina (wan ne kushoto) akipozi kwa picha ya kumbukumbu baada ya
kukabidhiwa zawadi ya gari lake mjini Tanga leo baada ya kuibuka kidedea
katika kampeni ya akaunti ya Malengo ya NBC.



No comments:
Post a Comment