Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akisaini
kitabu cha maombolezo kwenyeOfisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia
kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa
Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela
Jijini Dar es Salaam leo.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
akisaini kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini
kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza
Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela
Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu
Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka akisaini kitabu cha
maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha
Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika
Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar
es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment