Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa ameshikilia chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV
Vaccine) wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kwenye viwanja vya Mbagala
Zakhem, wengine pichani ni mabinti waliokuwa wa kwanza kupatiwa chanjo
hiyo wakati wa uzinduzi, kushoto ni Neema Felix (14) mkazi wa Mbagala na
mwingine ni Hadija Bakari (14) mkazi wa Kigamboni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
(katikati), Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Ummy Mwalimu pamoja na wadau wengine wa Afya wakikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa tuoaji wa chanjo
ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) uliofanyika
kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akishuhudia Binti mwenye umri wa miaka 14 anayefahamiaka kwa jina Hadija
Bakari mkazi wa Kigamboni akichomwa chanjo ya kukinga saratani ya
mlango wa kizazi (HPV Vaccine) wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kwenye
viwanja vya Mbagala Zakhem wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye picha ya pamoja na mabinti wa kwanza kupata chanjo ya ya
kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine), aliyesimama kushoto
ni Hadija Bakari (14) mkazi wa Kigamboni na kulia ni Neema Felix (14)
mkazi wa
No comments:
Post a Comment