Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akiwakabidhi vyeti vya kufanya vizuri baadhi ya
wawakilishi wa mashirika yanayoshirikiana na Wizara ya Afya wakati wa
Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la Uuguzi na Ukunga nchini
lililofanyika leo mkoani Dodoma.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wadau,wakunga na wauguzi wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la
Uuguzi na Ukunga nchini lililofanyika leo mkoani Dodoma.

Faustine Ndugulile akiongea na wauguzi na wakunga hawapo pichani wakati
wa Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la Uuguzi na Ukunga nchini
lililofanyika leo mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akiwakabidhi vyeti vya kufanya vizuri baadhi ya
wawakilishi wa mashirika yanayoshirikiana na Wizara ya Afya wakati wa
Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la Uuguzi na Ukunga nchini
lililofanyika leo mkoani Dodoma.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wadau,wakunga na wauguzi wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la
Uuguzi na Ukunga nchini lililofanyika leo mkoani Dodoma.
Baadhi
ya Wauguzi na Wakunga wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
hayupo pichani wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la Uuguzi na
Ukunga nchini lililofanyika leo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi
wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Bw. Gustav Moyo akiongea na wauguzi na
wakunga hawapo pichani wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la
Uuguzi na Ukunga nchini lililofanyika leo mkoani Dodoma.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Cha uuguzi na Ukunga Dodoma wakiwakilisha salamu
zao kwa kutumia wimbo kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile hayupo pichani wakati wa
Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la Uuguzi na Ukunga nchini
lililofanyika leo mkoani Dodoma.
Serikali imewataka Wauguzi na Wakunga nchini kufuata na kusimamia misingi ya maadili ya taaluma zao wakati wa kutoa huduma.
Hayo yamesemwa leo mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kisayansi la Uuguzi na Ukunga nchini.
Najua kuwa Idara ya Huduma za Uuguzi na Ukunga inalishughulikia suala la maadili kwa wauguzi na wakunga hivyo nitoe msisitizo tena huduma za Uuguzi na Ukunga zinapimwa zaidi na uadilifu wa mtoa huduma hivyo muendelee kusimamia kwa ukaribu misingi ya maadili ya taaluma zenu amesema Dkt Ndugulile.
Aidha, Dkt Ndugulile amewataka Wauguzi na Wakunga kupitia vyama vyao vya kitaaluma kushirikiana na Baraza la Uuguzi na Ukunga kuendelea kuwakumbusha mara kwa mara wauguzi kuhusu maadili ya taaluma yenu.
Mteja anapokuja kwenye vituo vya kutolea huduma anategemea kupata huduma ya upendo na huruma, anategemea kupewa maneno ya faraja na matumaini hivyo basi, wale wote wanaoichafua taaluma yenu kwa kutotekeleza wajibu wao kwa wakati, kuwadhalilisha, kuwashambulia au kutowasikiliza wateja wenu wabainishwe na wahimizwe kujirekebishaamefafanua Dkt Ndugulile.
Ninawapongeza sana kwa kuweka msisitizo kwa mambo yanayohusiana na kupunguza vifo vya akina mama na watoto wachanga hiyo ni moja ya agenda muhimu ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuliameongeza Dkt. Ndugulile.
Mbali na hayo Dkt. Ndugulile amesema kuwa serikali inazifanyia kazi changamoto zinazowakumba Wauguzi na Wakunga kwa namna mbalimbali ambapo hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kuongeza kiwango cha bajeti kwa ajili ya kuimarisha hali ya upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi katika Bohari ya Dawa.
kwa upande wake Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Bw. Gustav Moyo amesema kuwa kongamano hilo limeandaliwa ili kuwakumbusha wauguzi na wakunga maadili ya taaluma yao pindi wanapokuwa sehemu zao za kazi.
Aidha Bw. Moyo amesema kuwa Akizungumzia Kongamano hilo limebeba kauli mbiu isemayo isemayo Kuelekea Huduma za Uuguzi na Ukunga Zinazozingatia Ubora, Utu, Huruma na Usalama wa Wagonjwa; Katika Kupunguza Vifo vya Akinamama na Watoto.

No comments:
Post a Comment