Wednesday, 30 October 2019
BREAKING: Basi la Abood lapinduka
Basi la Abood linalofanya safari zake kati ya Dar na Morogoro, limepata ajali baada ya kupinduka katika njia ya mchepuko maeneo ya Kimara Temboni, asubuhi ya leo, Oktoba 30, 2019
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na madhara kwa abiria waliokuwemo ndani ya basi, bado hayajajulikana.


No comments:
Post a Comment