Diamond Platnumz awaita Harmonize na Alikiba Wasafi Festival - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 30 October 2019

Diamond Platnumz awaita Harmonize na Alikiba Wasafi Festival


Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz ameweka kuwa Harmonize ni mwana Familia wa WCB na itapendeza akiperform pia kwenye Wasafi Festival inayotarajiwa kufanyika Novemba 9, 2019.

Pia Diamond ameongeza na kusema kuwa angetamani kumuona Alikiba aki perform kwenye Jukwaa la Wasafi Festival na kwamba Manager wake Babu Tale yupo kwenye Mazungumzo na Management ya Alikiba ili siku hiyo awepo.

Diamond ameyasema hayo leo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Ikumbukwe Harmonize amejitoa katika lebo ya WCB na kuanzisha lebo yake ya Konde Music World Wide.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here