Rais Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Dar - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 30 October 2019

Rais Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Dar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Oktoba 30, 2019


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM baada ya kikao kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here