Tetesi: Kocha Aristica Cioaba kureja Azam FC - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Monday, 21 October 2019

Tetesi: Kocha Aristica Cioaba kureja Azam FC

Bila shaka unamkumbuka Kocha Mromani, Aristica Cioaba, amerejea tena Tanzania na inaelezwa amekuja kumalizana na Azam FC.

Taarifa za ndani zinasema kuwa Mromania huyo amereja kuchukua nafasi ya Mrundi, Etienne Ndayiragije ambaye inalezwa anaweza akapewa mkataba wa kuinoa Taifa Stars.

Kabla ya kurejea Tanzania, Cioaba aliwahi kuifundisha Azam FC kabla ya kuachwa kisha kurejea kwao Romania. Inaelezwa Cioaba anaweza akatambulishwa Azam FC muda wowote kuanzia hivi sasa.

No comments:

Post a Comment