FAIDA ZIPATIKANAZO KATIKA TANGAWIZI - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 4 November 2019

FAIDA ZIPATIKANAZO KATIKA TANGAWIZI

Karibu tena msomaji wangu leo ningependa kukushirikisha faida zinazopatikana katika tangawizi japo wengi wetu tunaifahamu kama dawa ila atufahamu faida zake zote leo ningependa uzifahamu faida za tangawizi.
Karibu twende pamoja.
Faida mbalimbali za tangawizi ni:

  1. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini ambazo zimo ndani ya mwili na juu ya ngozi.
  2. Kuna  (antibiotics) ya asili kwenye tangawizi, hivyo huondoa sumu mwilini haraka.
  3. Tangawizi ina uwezo mkubwa sana wa kuondoa uvimbe mwilini.
  4. Ndani ya  Tangawizi kuna ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake
  5.  Huondoa maumivu mbalimbali mwilini na pia, Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
  6. Tangawizi ina uwezo wa kutibu saratani ya tezi dumeTangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli zakansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa (4) manne kimeng’enya hicho kikikosekana.
  7.  Tangawizi  huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol
  8. Tangawizi ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia) pia ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
  9.  Tangawizi huzuia kuzalish kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vyatumbo mwilinipia hutibu kiunguliana kanza mbalimbali za tumbo
  10. Tangawizi nmsaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi, Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenyemirija ya uzazi.
  11. Tangawizi huongeza msukumo wa damu, Husaidia kuzuia shambulio la moyo
  12. Huzuia damu kuganda.
  13.  Hushusha kolesto
  14. Husafisha damu.
  15.  Hutibu shinikizo la juu la damu
  16.  Husafisha utumbo mpana
  17. Huondoa gesi tumboni na pia husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vizuri.
  18. Kwa wale wenye uchovu basi tumia kikombe kimoja cha tangawizi nawe utakuwa imara tena
  19. Tangawizi husaidia kuzuia kuharisha
  20. Husaidia mfumo wa upumuaji na kupunguza tatizo la  pumu
  21.  Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto, Hutibu homa ya kichwa.
  22. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
  23. Tangawizi Huimarisha afya ya figo.
  24. Tangawizi ina madini ya potassium ya kutosha pia ina madini ya manganese ambayo ni muhimu katika kuuongezamfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
  25.  hulinda kuta za moyo.
  26. hulinda mishipa ya damu na mishipa ambayo mkojo hupita.
  27. Tangawizi ina ‘silicon’ ambayo kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozinywelemeno na kucha.
  28. Tangawizi ina uwezo mkubwa sana wa kuongeza nguvu za kiume.
  29.  Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene.
Tutakuorodheshea  kwa kina jinsi ya kutumia tangawizi katika tiba.

TENGENEZA JWISI YA TANGAWIZI NA UNYWE KIKOMBE KIMOJA ASUBUHI ,PIA UNAWEZA JENGA MAZOEA YA KUCHEMSHA TANGAWIZI KATIKA MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU AMA TAFUNA TANGAWIZI KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI KABLA YA KULALA ITAKUSAIDIA SANA KATIKA AFYA YAKO .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here