Mwanamuziki Prezzo alazwa Hospitali kwa kubakwa na wanawake watatu - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 13 November 2019

Mwanamuziki Prezzo alazwa Hospitali kwa kubakwa na wanawake watatu



Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa za kulevya na kubakwa na wanawake watatu.
Inasemekana alipewa Cocaine na Viagra kabla ya kufanyiwa kitendo hicho na baadaye alikutwa akiwa katika hali ya kutojitambua.
Hadi kufikia sasa Jeshi la Polisi nchini Kenya limesema kuwa tayari linawashikilia wanawake watatu kwa ajili ya mahojiano ya mkasa huo ambao umeshangaza wengi.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here