Picha: Dk. Shein akutana na Balozi wa Korea nchini Tanzania - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Monday, 4 November 2019

Picha: Dk. Shein akutana na Balozi wa Korea nchini Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati alipofika kwa mazungumzo Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitambulishwa kwa Maafisa  wa Ubalozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania waliofuatana Balozi Mhe.CHO Taeick (katikati) kabla ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika  Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment