Serikali kusimamia maendeleo ya mtoto Anna Zambi
Waziri Ummy Mwalimu amesema suala la mtoto Anna Zambi Serikali kupitia Wizara ya Afya na maendeleoyajami tunachukua jukumu la kuratibu na kusimamia psychosocial support ya mtoto huyu pamoja na ustawi wake kwa ujumla. Katibu Mkuu Dkt John Jingu leo ataitembelea familia yake iliyopo Goba.
No comments:
Post a Comment