Shambulizi la bomu katika kituo cha polisi Indonesia - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 13 November 2019

Shambulizi la bomu katika kituo cha polisi Indonesia


Kituo cha polisi kimeshambuliwa kwa bomu kwenye kisiwa cha Sumatra huko Indonesia.
Kulingana na gazeti la Tempo huko Indonesia, watuhumiwa wawili walitega bomu hilo kupitia mlango wa kuingilia  wa Kituo cha Polisi cha Meran.
Washambuliaji hao wanakadiriwa kuwa wamekufa kwenye eneo la tukio la mlipuko huo, wakati viongozi bado hawajatoa taarifa kamili kuhusu suala hilo.
Hatua kali za usalama zimechukuliwa katika kituo cha polisi ambapo shambulizi hilo limefanyika, na uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here