Friday, 15 November 2019
Simba SC na KMC kucheza mechi ya kirafiki, kiingilio bure
Timu ya Simba SC imetangaza kuwa itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC kama sehemu ya kujiweka sawa kwa michezo ya Ligi inayokuja.
Taarifa rasmi kutoka ndani ya timu hiyo imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa kwenye dimba la Chamanzi Dar es Salaam na kiingilio kitakuwa ni bure kabisa.


No comments:
Post a Comment