Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi afanya ziara Newala - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 6 December 2019

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi afanya ziara Newala



Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akizungumza na wananchi pamoja na wakazi wa Newala mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja aliyoifanyamaeneo hayo, lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwashukuru wananchi kuwa ushirikiano wao wanaoutoa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalam juu ya kukabiliana na uhalifu katika maeneohayo.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP  Liberatus Sabas akipokelewa na maafisa na wakaguzi baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi Newala mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja ilikuwa 
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP  Liberatus Sabas akizungumza na wananchi pamoja na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku mojamaeneo hayo, lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwashukuru wananchi kuwa ushirikiano wao wanaoutoa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalam juu ya kukabiliana na uhalifu katika maeneohayo.(Picha na Jeshi)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here