Man United wamuwinda kinara wa mabao Lyon - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 30 December 2019

Man United wamuwinda kinara wa mabao Lyon


Pamoja na kuwa Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amekosa saini ya kinda Erling Haaland, lakini hajakata tamaa ya kuisuka timu hiyi, na sasa anatupia jicho kusajili mshambuliaji na kiungo.
Hivi sasa timu hiyo inasaka kiungo kwa kuwa haina uhakika kama Paul Pogba atabaki kwenye timu hiyo ama la.
Pia Kocha huyo kwa sasa anamsaka kwa udi na uvumba mshambuliaji wa Lyon, Moussa Dembele, ambaye klabu hiyo imemsaka kwa muda mrefu. Dembele pia anatajwa kuwa mrithi wa Romelu Lukaku aliyetimkia Inter Milan.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here