Manispaa ya Songea yakabiliwa na upungufu wa madarasa 320 - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Friday, 27 December 2019

Manispaa ya Songea yakabiliwa na upungufu wa madarasa 320




Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ina upungufu wa vyumba vya madarasa 300 kwa shule za msingi na 20 za  sekondari na  hivyo juhudi zinahitajika  kukamilisha vyumba hivyo ili watoto waweze kusoma katika mazingira mazuri.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Songea Bi.Tina Sekambo  ambapo pia ameeleza jitihada zinazofanyika za kujenga madarasa mapya na kukarabati yaliyochakaa kabla shule hazijafunguliwa
Akikagua  ujenzi wa madarasa na ukarabati wa majengo ya shule katika manispaa ya songea mkuu wa mkoa wa ruvuma Bi.Christina Mndeme amesema hataki kusikia  wanafunzi wanakosa nafasi kwa visingizio vya upungufu wa madarasa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here