Watu watano wafariki kutokana na mvua kubwa Msumbiji - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 30 December 2019

Watu watano wafariki kutokana na mvua kubwa Msumbiji




Watu watano wamefariki dunia, wengine 51 wamejeruhiwa na nyumba zaidi ya elfu saba zimeharibiwa kutokana na mvua kubwa katika jimbo la Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji.
Kwa mujibu wa radio taifa ya Msumbiji RM, wahanga walisombwa na mafurikio yaliyosababisha na mvua katika mto Montepuez, na bado kuna wengine wengi walioathiriwa na mafuriko hayo.
Serikali ya Msumbiji imetoa tahadhari nchini kote, dhidi ya hatari ya kutokea kwa mafuriko katika majimbo ya Zambezia, Nampula na Cabo Delgado.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here