Balozi wa akaunti maalumu
ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Angel Joachim (wa tatu kushoto),
akizungumza na baadhi ya wateja waliofika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam
hivi karibuni kuhusu faida za akaunti hiyo inayompa mteja uhakika wa elimu
ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata itakapotokea majanga yatakayosababisha
ulemavu wa kudumu ama kifo.
Balozi wa akaunti maalumu
ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Irene William (kulia), akizungumza
na wateja waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City
Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu faida za akaunti hiyo inayompa mteja uhakika
wa elimu ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata atakapopata ulemavu wa kudumu au
kifo.
Balozi wa akaunti maalumu
ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Hadija Kimaro (kushoto), akizungumza
na wanafunzi waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City
Dar es Salaam hivi karibuni uhusu faida ya akaunti hiyo inayompa mteja uhakika
wa elimu ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata atakapopata majanga
yatakayosababisha ulemavu wa kudumu ama kifo.
Balozi wa akaunti maalumu
ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Neema Mziray (kulia), akizungumza na
baadhi ya watu waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani
City Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu faida na jinsi ya kujiunga na akaunti
hiyo inayomhakikishia mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi kufika chuo
kikuu hata yanapotokea majanga yatakayosabisha ulemavu wa kudumu ama kifo.
Kutoka kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja wa kampuni ya Bima ya
Jubilee Insurance, Dk. Maria Janja na Mfanyabiashara wa Vyakula, Happy Lyimo.
No comments:
Post a Comment