Simba yaanika viingilio mechi yao dhidi ya Yanga Jumamosi - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Wednesday, 1 January 2020

Simba yaanika viingilio mechi yao dhidi ya Yanga Jumamosi

Klabu ya Simba kupitia Afisa Habari wake, Haji Sunday Manara ametaja viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC utakaochezwa siku ya Jumamosi katika  Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Akiwa na watatendaji wengine kama Mtendaji Mkuu wa klabu, Senzo Mbatha na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga  Manara Amesema viingilio ni Sh. 30,000 VIP, Sh. 20,000 VIP B na C na Sh. 7000 kwa mzunguko


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here