Agano Jipya (Maandiko Kwa Wakristo) - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Sunday, 2 February 2020

Agano Jipya (Maandiko Kwa Wakristo)

Agano Jipya Ni kusanyo ya vitabu 27 viliandikwa katika lugha ya Kiyunani katika kipindi cha karibu na miaka sitini, baada ya Kristo. Ni vitabu vile ni Viongozi vya Wokovu, vinafundisha Injili, na vinatangaza Kanisa la Kristo. Jinsi siku moja Mungu atafuta ulimwengu huu na kupeleka watu wote waminifu waenda kukaa naye kwa milele mbinguni. Angalia: Kuna mistai mengi zimerudi kwenye Agano la Kale lakini sasa zimeandikwa kwa Roho Mpya.Vitabu Vinne Vya Kwanza Vinaiitwa “Vitabu Vya Injili” Kitabu Kimoja kinzumgumza matendo ya Mitume, hasa Petro na Paulo. Barua 13 Za Paulo Kwa makusanyiko na watu Barua Zingine 8 Za Kujenga Wakristo Wapya Kitabu Cha Mwisho Ni kitabu cha Maono { Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Ya Mitume Warumi 1 Wakorinto 2 Wakorinto Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesolanica 2 Wathesolanica 1 Timotheo 2 Timotheo Tito Filimon Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda UfunuoVitabu Vya Injili Maana ya neno “injili” ni “habari Njema” Vitabu Vya Injili Vinahusu, Kuzaliwa, Utoto, Mafundisho, Kifo, Na Ufufuo Wa Yesu Kristo. -Kimeandikwa karibu na mwaka wa 50 B. K., na kilichapishwa baada ya uagamizo wa Yerusalemu (70 B. K.) -Kimeandikwa kwa ajili ya Wayahudi. Na kimeandkiwa ili Mathayo aonyesha kwamba Yesu alitimiza unabii kuhusu Mesia. —Kimeandikwa kabla ya Injili zote. —Kimeandikwa karibu na mwaka wa 50 B .K., na kilichapishwa baada ya kuanguka kwa Yerusalmu. —Kimeandikwa kwa kuthibitisha kwa Warumi kwamba Yesu, aliyekufa msalabani alikuwa Mwana wa Mungu. -Maelezo ya 33% ni sawa na kitabu cha Marko. -Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili ya Wayunani. -Kitabu hiki kilithibitisha Yesu alikuwa Mwokozi wa ulimwengu huu kwa watu wote kwa milele. -Vitabu vitatu vya kwanza pia vinaiitwa “Synoptics” kwa maana vimeandika kuhusu adithi zile zile. —Kiliandika kwa kuongozo Kanisa la awali. —Kinaongelea kuhusu Filosofia na siri za Neno la Mungu. Mathayo Marko Luka YohanaKitabu Cha Matendo ya Mitume Maelezo ya Dini Mpya Maelezo ya peke kuhusu mwanzo wa Ukristo. Maeleo yanaohusu jinis Injili ilipelekwa kutoka Palestina mpaka Rumi, mji mkuu wa ulimwengu. Kitabu cha pili cha Luka, aliyeandika Injili ya Luka. Kinaeleza muda ya miaka 30 baada ya kifo cha Yesu. Kina sura 28. Sura ya 1 –12 zilitokea Palestina. Sura 13-28 zilihusu safari za mmisionari Paulo alipotembea Yudea, Samaria, na kupita Imara ya Rumi, mpaka alipofungwa Rumi.13 “Barua Za Paulo” Ailianzika kwa makanisa na kwa watu binafsi. Na ziliandika miaka 20-35 baada ya kifo cha Yesu Kristo. 7 Nyraka ya Kwanza Kwa Wakorinto Paulo aliandika kitabu hiki iliasahisha matatizo ya Ubinafsi, ya Ibada, na matatizo yaliohusu Roho Mtakatifu. 57-58 B. K.. 8 Nyaraka ya Pili Kwa Wakorinto Aliandika ili aone mabadiriko yaliyotokea baada ya kutuma barua ya kwanza. Pia alionya waovu, 57-58 B.K. 9 Barua Kwa Wagalatia Aliomba wakristo wa Galatia, wasirudi nyuma na kushika mambo ya Agano la Kale, 57-58 B.K. 10 Barua Kwa Waefeso Barua kwa Wakristo wote wa Asia Ndogo kuhusu umoja wa Kanisa na ukubwa wa Yesu, 62-63 B.K. 13 Nyaraka ya Kwanza Kwa Wathesalonike Aliandika kitabu hiki wakati alikuwa Korinto kwa mara ya kwanza. Alikuwa na kutoa shukurani kwa Wathesalonike kwa sababu ya repoti alisikia kutoka kwa Timotheo, 16 Nyraka ya Pili K wa Timotheo Aliandika wakati alifungwa Rumi kwa mara ya pili. Aliomba kuonana na Marko kabla ya kifo chake na alieleza upendo wake juu ya Timotheo. 65-67 B.K. 11 Barua Kwa Wafilipi Paulo aliandika alipofungwa Rumi. Alitoa shukurani kwa msaada alipokea kutoka kwa Kanisa la Filipi na alionya wakristo kuhusu walimu wa uongo, 62-63 B. K. 12 Barua Kwa Wakolosai Aliandika kwa sababu ya matatizo mengi yaliyohusu mambo ya Teolojia, 62-63 B. K. 14 Nyaraka ya Pili Kwa Wathesalonike Alikuwa na kufundisha vizuri kuhusu tabia na mawazo yao kuhusu kurudi kwa pili kwa Yesu Kristo, 52-53 B.K. 15 Nyarka ya Kwanza Kwa Timotheo Aliandika baada ya kufunga mara ya kwanza Rumi, na alishauri Timotheo jinsi ya kupambana na mawazo mabovu ya Waefeso, 66-67 B.K. 17 Barua Kwa Tito Aliandika kabla aliandika barua za Timotheo. Na alimsharui Tito jinsi ya kuendesha Kanisa pale Krete, 65-67 B. K. 18 Barua Kwa Filemoni Onesmo, mtumwa wa Filemoni alitoroka na alimkuta Paulo Rumi. Aliposikia Injili alibatizwa na aliamua kurudi kwa Filemoni. Paulo aliomba Filemoni awe mpole na aonyesha 6 Barua Kwa Warumi Iliandikwa kule Korinto kwa ajili ya Kanisa kilikuwepo Rumi. Aliandika kwa sababu: Alitaka Wakristo waache kuchanganya maNa Barua 8 Zingine 20 Barua K utoka Kwa Yakobo Inawezekana mdogo wake Yesu aliandika kitabu hiki. Yakobo alikuwa mtakatifu aliyeishi Yerusalemu na aliwasaidia kuongoza wakristo wapya ili waishi maisha bora. Maneno yake yanatufundisha jinsi ya kuishi tofauti na ulimwengu huu, 22 Barua ya Pili Kutoka Mkono Wa Petro Alirudia mambo yale yale aliyetamka katika barua yake ya kwanza. Tena alikuwa na wafariji wakristo kwa kuongea kuhusu kurudi kwa mara ya pili ya Yesu Kristo, 64—66 B. K. 26 Barua Ya Yuda Alikuwa mdogo wa Yakobo. Na aliandika kitabu hiki kwa wakristo waliolegea nyuma na walianza kufuata mambo ya upagani tena. 66-80 B. K. 19 Baura Kwa Waebrania Haileweki nani aliandika kitabu hiki, watu wanakisia Paulo, Apolo au Timotheo. Habari zinaeleza ubora wa Agano Jipya na mwandishi aliwashauri wakristo watii Mungu kwa moyo wote. 66 B. K. 21 Barua ya Kwanza Kutoka Mkono Wa Petro Aliandika kwa Makusanyiko ya Kanisa la Kristo Asia Ndogo. Alitaka kujenga na kuimarishe wakristo ili wasianguka kwa sababu ya mateso makali, 64 B.K. 23, 24, 25 Barua za K wanza, Pili na Tatu Kutoka Mtume Aliyependwa Na Yesu K uliko Wote Yohana Aliandika kuhusu usafi wa roho, upendo wa ndugu, walimu wa uongo na mambo mengi ya Theolojia. Haileweki barua ziliandika lini. Inawezekana baada ya kuanguka kwa Yerusalemu. 27 Na Kitabu Cha Mwisho Wa Biblia N i Ufunuo Habari zinahusu jinsi Yesu kama mwana kondoo ni uhai na jinsi Mungu ataweka kila kitu kiwe sawa. Kitabu hiki ni kitabu cha ishara, kwa kuonyesha kwamba Mungu ndiye anayetawala, na atalipiza kisasi juu ya wale waliteswa Wakristo wa awali, 96 B.Baadhi ya Mawazo Kwa Kusaidi Wewe Iliuelewi Biblia. 1 Unahitaji kuwa na kiu na njaa kwa ajili ya haki, Mat. 5:6; Isa. 55:1; 65:13. 2 Ni lazima upanga muda kila siku kwa kusoma maandiko, 2 Tim. 2:15. 3 Ni lazima usome kitabu kimoja wakati moja tu! Vitabu vingi unaweza kusoma chini ya saa moja, 1 Kor. 14:40. 5 Jaribu kuelewa kusudi kwa kuandikwa kila kitabu. Fikiri kuhusu mwandishi, kwamba alikuwa nani na kwa nini alieleza yote? 4 Soma Agano Jipya kwanza, kuanzia Injili mpaka Matendo hadi barua za Paulo na barua zingine, 2 Pet. 1:3; Ebr. 8:7- 13. 6 Pia jaribu kuelwa barua vitabu vilandikwa kwa wanani? Na maelezo yale kuwa na maana gani?Kumbuka hatuna uwezo wa kutafsiri maandika kama tunavyopenda, 2 Pet. 1:19-21. 8 Pia andika mambo ulijifunza katika daftari. Na andika maswali, na mawazo yale muhimu yanauwezo wa kusaidia ukristo wako, 2 Tim. 3:16-17. 9 Kama unataka kuwa mwanafunzi mzuri wa maandiko, ni lazima utafuta kamusi, itafaki, ramani na vitabu vinaoweza kusaidia mafunzo yako. Maneno Machachi Kutoka Mwandishi: Ni tumaini yangu umejifunza mambo mengi kuhusu Biblia kutoka kitabu hiki. Kama utakuwa na swali au utahitaji msaada ya kiroho naomba utuandika sisi kwenye anwani utaona hapa chini. Pia kama utahitaji masomo ya bure kupitia posta pia tuma jina lako na anwani kwa anwani utaona chini. Kumbuka hakuna kitabu kingine hapa ulwenguni kimetoka kwa Mungu. Kama utataka kupata wokovu ni lazima ufuata kitabu cha Mungu tu, kwa sababu ndani ya sisi wanadamu hatweai kupata Mungu bila Biblia Asante. Ndugu Heath Stap

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here