Herbeauty Yanga yapigwa faini ya Tshs 500,000 ( Laki Tano) - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Tuesday, 18 May 2021

Herbeauty Yanga yapigwa faini ya Tshs 500,000 ( Laki Tano)

 


Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Tsh 500,000 kwa kosa la Wachezaji wake kuingia Uwanjani katika mchezo dhidi ya Namungo kwa kupitia mlango wa Mashabiki, mchezo huo ulichezwa katika Uwanja wa Majaliwa na kumalizika 0-0.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here