kila kabila lile keki ya nchi yetu - Freeman Mbowe - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 27 May 2021

kila kabila lile keki ya nchi yetu - Freeman Mbowe


 "Sio Wachagga wala sio Wasukuma, wala sio Wamasai wala sio Wameru, tunataka Watanzania wa makabila yote tukaishi kama Ndugu, kila kabila likawe na haki ya kula keki ya Nchi yetu, tusiingize siasa za kipumbavu za kikabila zilizopitwa na wakati, tunamwambia Mama Samia na Chama chake cha CCM, Chama cha Mapinduzi kijirekebishe, kisiruhusu siasa na sera za kikabila kwa kabila lolote Nchi hii" ——— Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe sasa akiwa Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here