Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mtaka afika ofisini kwa Spika Ndugai kujitambulisha - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 27 May 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mtaka afika ofisini kwa Spika Ndugai kujitambulisha

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai  akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka alipofika Ofisini kwake kujitambulisha Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge akiongoza kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka na Wabunge  wa Mkoa wa Dodoma Ofisini kwake Jijini Dodoma.


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here