Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP) akutana na Waziri Simbachawene Jijini Dodoma - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 27 May 2021

Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP) akutana na Waziri Simbachawene Jijini Dodoma

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson(kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George  Simbachawene akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (kulia), masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George  Simbachawene akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (katikati), masuala mbalimbali yanayohusiana na programu za chakula katika makambi ya wakimbizi yaliyopo nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika leo, jijini Dodoma.Kulia ni Mkuu wa Sera na Mipango wa shirika hilo hapa nchini,Neema Sitta.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George  Simbachawene akiwa katika picha ya Pamoja  na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Chakula (WFP) nchini, Sarah Gordon Gibson (katikati)baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika leo jijini Dodoma.Kulia ni Mkuu wa Sera na Mipango wa shirika hilo hapa nchini,Neema Sitta.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here