BEKI MCONGO ALIYEJIFUNGA YANGA MIAKA MIWILI ATAJA NAMBA ATAKAYOVAA - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Saturday, 19 June 2021

BEKI MCONGO ALIYEJIFUNGA YANGA MIAKA MIWILI ATAJA NAMBA ATAKAYOVAA

 


NYOTA wa AS Vita, Djuma Shaban amesema kuwa akijiunga na Klabu ya Yanga baada ya uataratibu wa dili lake kukamilika atahitaji kuvaa jezi namba 21.


Nyota huyo inaelezwa kuwa amemalizana na mabosi wa Yanga kwa dili la miaka miwili ambapo amesema kuwa akija anahitaji kuvaa jezi namba 21.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa dili lake na AS Vita linameguka Juni 30.

No comments:

Post a Comment