:ISHU YA MAYELE,FISTON NA DJUMA YA ITC, MCHEZO UPO NAMNA HII - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Wednesday, 8 September 2021

:ISHU YA MAYELE,FISTON NA DJUMA YA ITC, MCHEZO UPO NAMNA HII

 


UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ishu kubwa itakayowafanya wachezaji wao watatu kukosekana kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United Jumapili ni ishu ya vibali vyao ITC na sio makosa ya Yanga bali ni mvutano ambao ulikuwa kati ya timu zilizokuwa zinawamiliki wachezaji pamoja na uongozi wa Yanga.

 Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa suala hilo lilisababisha Caf kuweza kuzuia vibali vyao kwa kuwa walikuwa nje ya muda jambo ambalo limewafanya waweze k

No comments:

Post a Comment