SIMBA: KILA KITU KINAKWENDA SAWA KUELEKEA SIMBA DAY - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Thursday, 2 September 2021

SIMBA: KILA KITU KINAKWENDA SAWA KUELEKEA SIMBA DAY

 


KUELEKEA kwenye Tamasha la Simba Day, Kaimu Ofisa Habari wa vizuri na watafanya kitu kikubwa.

Simba day ni siku maalumu ambayo hutumika kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji waliosajiliwa, benchi la ufundi na wale ambao walikuwa katika kikosi kwa msimu wa 2020/21.

Kwa kikosi cha Simba ni wachezaji wawili ambao watakosekana nao ni Luis Miquissone ambaye yupo zake Al Ahly na Clatous Chama ambaye yupo zake ndani ya RS Berkane.

Simba Day inatarajiwa kufanyika Septemba 19, Uwanja wa Mkapa ambapo pia uzi mpya wa Simba utaonyeshwa ukiwa umevaliwa kwa mara ya kwanza na unatarajiwa kuzinduliwa Septemba 4.

Kamwaga amesema:"Maandalizi ya Simba Day yanakwenda vizuri na tupo tayari kwa ajili ya kuwaonesha mashabiki namna gani tunafanya mambo mazuri kwa ajili yao.


 “Simba Day ya mwaka huu itakuwa kubwa. Mpaka sasa tumeshapokea maombi ya timu ambazo zimeshashinda ubingwa wa Afrika zaidi ya mara mbili. Nawahakikishia Simba itacheza na timu kubwa sana barani Afrika katika Simba Day 2021.” 


Tayari wapinzani wao wa jadi Yanga wao siku yao ya Mwananchi Day iliweza kufanyika na utambulisho wa jezi pamoja na wachezaji uliweza kufanyika kilele chao ilikuwa ni Agosti 29, Uwanja wa Mkap

2021 timu hiyo, Ezekiel Kamwaga ameweka wazi kuwa maandalizi yapo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here