Usiku wa kuamkia leo staa wa muziki na filamu Bongo Hamisa Mobetto ame-make headlines mitandaoni baada ya kushea video kwenye 'Insta Story' yake akiwa na msanii wa HipHop Marekani Rick Ross.
Video hizo zinaonyesha wawili hao wakiwa Dubai waki-kiss, kukumbatiana, kucheza, kuondoka pamoja jambo ambalo limetafsririwa kama wapo kwenye mahusiano kutokana ukaribu wao ulivyokuwa mkubwa.
No comments:
Post a Comment