Rais samia amesema ana kazi ya kufanya na Mbunge William Lukuvi.
”Nina kaka zangu wawili, William Lukuvi na Kabudi, ukiwatazama hawa age yao kama yangu na ukitizama niliowateua hamfanani kabisa, kwa hiyo kaka zangu wawili hawa nimewavuta waje kwangu, ili waje wanisimamie kuwasimamia nyie.” Rais Samia Suluhu Hassan
No comments:
Post a Comment