Shule za Uganda zafunguliwa baada ya takriban miaka miwili - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!


Breaking

Monday, 10 January 2022

Shule za Uganda zafunguliwa baada ya takriban miaka miwili


Shule nchini Uganda zimefunguliwa kikamilifu asubuhi ya leo, karibu miaka miwili baada ya janga la coronavirus kuanza.


Kufungwa kwa shule nchini humo ni mojawapo ya kulikochukua muda mrefu zaidi ulimwenguni tangu virusi hivyo vililazimishe serikali kufunga taasisi za masomo mnamo Machi 2020.


Hizi hapa ni baadhi ya picha za siku ya kwanza shuleni zilizopigwa na mwandishi wa BBC Patience Atuhaire mjini Kampala:






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here