Wabunge waidhinisha mtu wa kwanza wa jinsia mbili kufanya kazi ya serikali Kenya, hii inatuma ujumbe gani? - KABATA

This is the special room for news where you need to settle with!

Thursday, 24 February 2022

Wabunge waidhinisha mtu wa kwanza wa jinsia mbili kufanya kazi ya serikali Kenya, hii inatuma ujumbe gani?

Nyongesa

CHANZO CHA PICHA,STAR MEDIA

Maelezo ya picha,

Dkt.Dennis Nyongesa

Bunge la Kenya siku ya Jumanne liliweka historia kwa kumuidhinisha mtu wa kwanza mwenye jinsia tofauti kushika nafasi ya juu katika Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini humo.

Dkt Dennis Nyongesa Wamalwa alikiri kuwa na jinsia tofauti aliidhinishwa na wabunge na kumfanya kuwa mtu wa kwanza wa jinsia ya tatu kushika wadhifa wa juu wa umma.

Idhini yake pia inatuma ujumbe wa azimio la nchi kutambua watu wa jinsia ya tatu.

Mhadhiri huyo wa chuo kikuu aliisimulia kamati ya uchunguzi inayoongozwa na Mbunge wa Kangema Muturi Kigano jinsi ambavyo amekabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu kutokana na jinsia yake.

No comments:

Post a Comment