Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuonyweshwa mchoro wa mradi wa ujenzi wa eneo la biashara ndogo ndogo katika eneo linalojulikana kwa jina la soko la jioni Bariadi..(Picha na CCM Makao Makuu).
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Kikundi cha Vijana Dutwa kinachotengeneza bidhaa za ngozi.(Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiangalia viatu vya ngozi vinavyotengenezwa na Kikundi cha Vijana Dutwa kinachotengeneza bidhaa za ngozi, kushoto ni Mwenyekiti wa Kikundi hicho Mussa Nchambi.(Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Kikundi cha Vijana Dutwa kinachotengeneza bidhaa za ngozi pamoja na wananchi wa jirani mara baada ya kumaliza ziara yake hapo. (Picha na CCM Makao Makuu)
Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano mkuu wa shina namba 13, Tawi la Igaganulwa kata ya Dutwa, Bariadi ambapo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Simiyu.(Picha na CCM Makao Makuu 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa shina namba 13, Tawi la Igaganulwa kata ya Dutwa, Bariadi kwenye mkutano Mkuu wa Shina ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Simiyu.(Picha na CCM Makao Makuu)
Tuesday, 1 February 2022
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU CHONGOLO BARIADI MKOANI SIMIYU LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment